Winga Yusufu Athumani anaendelea na program maalum ya mazoezi kujiimarisha baada ya kupona majeraha
Yusufu aliumia wakati Yanga ikijiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Mlandege ambao ulipigwa Jumanne iliyopita na Yanga kushinda bao 1-0
Wananchi leo wanashuka tena uwanja wa Amaan kuikabili KMKM, Yusufu huenda asiwe sehemu ya mchezo huo


ADVERTISE HERE