Tanzania inashuka uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo muhimu dhidi ya DR Congo, mchezo ambao Stars inazihitaji alama zote tatu ili kuweka hai matumaini ya kusaka tiketi ya michuano ya kombe la Dunia
Kikosi kinachoanza mchezo huo ni hiki;

ADVERTISE HERE