Nonda Shabani ndani ya ardhi ya Tanzania

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Nov 2021
Nonda Shabani ndani ya ardhi ya Tanzania

Yanga ina historia na wachezaji kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Kwa miaka mingi Yanga ni sehemu salama kwa wachezaji kutoka DR Congo

Pichani (katikati) ni mshambuliaji Nonda Shabani ambaye amewahi kuzitumikia Blackburn Rovers (Uingereza), AS Monaco (Ufaransa), AS Roma(Italia) na Galatasaray ya Uturuki

Kabla ya kutimkia Ulaya Nonda aliitumikia Yanga kwa mafanikio akicheza na kina Bakari Malima 'Jembe Ulaya'

Nonda yuko Tanzania akiwa sehemu ya msafara wa timu ya Taifa ya DR Congo ambayo baadae leo itacheza na Tanzania mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya kombe la Dunia

Nonda hakuona shida kuwatafuta rafiki zake ambao alitamba nao Yanga, pichani Bakari Malima ukionekana upande wa kushoto

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
18h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’