Baada ya mazoezi makali, leo wachezaji wa Yanga walipata nafasi ya kupooza miili yao kujiweka sawa kwa ajili ya mikiki mikiki ya mechi zinazofuata
Wananchi wako visiwani Zanzibar wakialikwa kwenye maadhimisho ya mwaka mmoja wa Rais wa Zanzibar Mh Hussein Mwinyi
Baada ya kuichapa Mlandege Fc bao 1-0 jana, Yanga itashuka tena dimbani Ijumaa kuikabili KMKM




ADVERTISE HERE