Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mlandege Fc jana katika mchezo wa kirafiki, kikosi cha Yanga kimeendelea kubaki visiwani Zanzibar wakiendelea na mazoezi
Ijumaa Yanga itashuka tena kwenye uwanja wa Amaan kuikabili KMKM





ADVERTISE HERE