Wakazi wa visiwani Zanzibar leo watashuhudia 'pira burudani' pale uwanja wa Amaan wakati Yanga itakaposhuka dimbani kuikabili Mlandege katika mchezo wa kirafiki
Mchezo huo utapigwa kuanzia saa mbili na robo usiku
Wananchi wataendelea kubaki visiwani humo hadi Ijumaa ambapo watashuka tena uwanjani kuikabili KMKM
Ni mechi za maandalizi kwa kikosi cha Yanga ambacho baada ya kalenda ya Kimataifa kitaelekea mkoani Lindi kuikabili Namungo Fc, Novemba 20
ADVERTISE HERE