Katika kuhakikisha wanaendelea kuwa katika ubora wao, Wananchi wameitikia mwaliko visiwani Zanzibar ambako watacheza mechi mbili za kirafiki
Kesho Jumanne Yanga watashuka kwenye uwanja wa Amaan kucheza na Mlandege na Ijumaa Novemba 12 watashuka tena dimbani kuikabili KMKM
Mechi zote zitapigwa kuanzia saa mbili na robo usiku
ADVERTISE HERE