Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi na kiungo wa timu hiyo Feisal Salum 'Fei Toto' wameibuka na tuzo za ligi kuu mwezi Oktoba 2021
Nabi ameibuka kuwa Kocha Bora wakati Fei Toto ameibuka kuwa mchezaji bora wa mwezi
Katika mwezi Oktoba Yanga imeshinda michezo yote minne huku Feisal akifunga mabao mawili na kutoa usaidizi katika bao moja

ADVERTISE HERE