Vinara wa ligi kuu ya NBC Yanga wametozwa faini ya Tsh 500,000/- na Kamati y Uendeshaji na Usimamizi wa ligi kwa kosa la kuwakilishwa na maafisa wanne badala ya watano katika kikao cha maandalizi ya mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Ruvu Shooting
Jambo la kushangaza zaidi ni kuwa Bodi ya Ligi hawajui matokeo ya mchezo huo ambao Yanga ilishinda mabao 3-1 (wao wameweka 2-0)

ADVERTISE HERE