Waliosajiliwa Yanga mpaka sasa

Admin By Admin
β€’
10 Jul 2017
Waliosajiliwa Yanga mpaka sasa
Yanga tayari imekamilisha usajili wa Raphael Daudi kutoka Mbeya City. Huyu bado ana majukumu na timu ya Taifa pengine atatambulishwa baada ya mchezo wa Stars dhidi ya Rwanda Julai 15.

Pius Buswita, Ibrahim Ajib, Abdallah Shaibu na Youthe Rostand hawa tunao na wameshasaini mikataba.









Gadiel Michael naye tayari, mambo kadhaa kwenye mkataba wake yanashughulikiwa. Azam wanadai mkataba wake unamalizika mwezi Disemba. Naye yuko kwenye timu ya Taifa

Bado majembe kama matatu hivi, wawili wakiwa wa Kimataifa watasajiliwa kutegemeana na maamuzi ya kocha George Lwandamina.

Hawa watakuwa suprise kwa mashabiki wa Yanga. Utaratibu ni uleule, kimya kimya!

Sura zitakazokosekana Jangwani msimu ujao
1. Vicent Bossou
2. Pato Ngonyani
3. Deogratius Munishi 'Dida'
4. Malimi Busungu
5. Oscar Joshua
6. Ali Mustafa 'Barthez'
7. Matheo Antony
8. Haruna Niyonzima
9. Justine Zulu (itategemea maamuzi ya Lwandamina)
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’