Afisa Mhamasishaji wa Yanga Haji Manara ameweka hadharani kikosi chake bora cha ligi kuu baada ya michezo mitano ya raundi ya kwanza
Katika kikosi hicho ni mshambuliaji Vitalis Mayanga pekaa aliyeweza kupata nafasi, wengine wote ni wachezaji wa Yanga
Kwa mujibu wa takwimu, Yanga ndio klabu iliyokuwa bora zaidi katika michezo hiyo kwenye kila idara
Imeshinda mechi zota tano huku ikifunga mabao tisa na kuruhusu bao moja tu

ADVERTISE HERE