Mwezi na tarehe kama ya leo miaka kadhaa nyuma, alizaliwa nahodha wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto
Huyu ni nondo kwelikweli pale kwenye safu ya ulinzi ya Yanga
Mlinzi ghali zaidi miongoni mwa wachezaji wa ndani akiendelea kung'ara katika kikosi cha Kocha Nasreddine Nabi
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu kwake
HAPPY BIRTHDAY MWAMNYETO..!
ADVERTISE HERE