Manara awashukia wachambuzi 'uchwara'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Nov 2021
Manara awashukia wachambuzi 'uchwara'

Msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara amewashukia baadhi ya wachambuzi wa soka nchini ambao kazi yao kubwa ni kuisema Yanga pamoja na GSM

Manara ametoa kauli hiyo baada ya kuibuka kwa hoja iliyotolewa na mchambuziΒ  wa redio moja maarufu kuhoji kwa nini GSM wanadhamini klabu za Namungo na Coastal Union na wakat huohuo wakiwa wanaidhamini Yanga?

Ipo dhana ambayo ilianza kujengwa na viongozi wa Simba kuwa timu yao inakamiwa na wapinzani wao wakiihusisha Yanga na hoja ya mchambuzi huyo inaonekana kuwa kwenye mlengo huo huo hasa baada ya Simba kushindwa kuifunga Coastal Union na kupata ushindi dhidi ya Namungo kwenye dakika ya 96, dakika 2 nje ya muda wa nyongeza (dakika 4)

Simba pia walishindwa kupata ushindi dhidi ya Biashara United,wakapata ushindi wa tabu kwenye michezo dhidi ya Dodoma Jiji na Polisi Tanzania

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Manara ameandika haya;

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’