Yanga kutumia mapumziko ya FIFA kujiimarisha zaidi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Nov 2021
Yanga kutumia mapumziko ya FIFA kujiimarisha zaidi

Baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ruvu Shooting hapo jana, Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amesema watatumia mapumziko ya kalenda ya Kimataifa kujiimarisha zaidi ili kuhakikisha wanarejea wakiwa imara zaidi

Ushindi wa jana umewafanya Yanga waendelee kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi wakiwa na alama 15 wakiwa wameshinda mechi zote tano walizocheza

Kaze amesema wamedhamiria kufanya vizuri zaidi katika kila mchezo hivyo watatumia vyema kipindi cha mapumziko

"Mechi ya tano ya ligi, ushindi wa tano, kutakuwa mapumziko ya siku 15 kupisha mechi za timu za Taifa, tutatumia muda huu kujiimarisha zaidi"

"Tunajua tunaweza kufanya vizuri zaidi, tunajipanga kwa ajili ya mchezo wetu unaofuata ni dhidi ya Namungo Fc, Novemba 20 mkoani Lindi," alisema Kaze

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’