Feisal Salum amekuwa na utamaduni wa kupiga mashuti ya mbali, msimu huu anaoneka kuwa amefanyia sana mazoezi katika upigaji wa mipira hiyo
Bao alilofunga leo dhidi ya Ruvu Shooting linaweza kuwa bao bora la msimu mapemaaaa
Shuti kali kutoka umbali ule ambalo lilikwenda moja kwa moja wavuni, linadhihirisha ni kwa kiasi gani Fei Toto ameiva
Ikumbukwe hata KMC nao aliwatungua kwa shuti la nje ya 18 ambalo lilijaa upande uleule wa kushoto!
Mabao mengine ya Yanga katika mchezo dhidi ya Ruvu Shooting yalifungwa na Shabani Djuma (P) na Mukoko Tonombe
ADVERTISE HERE