Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amefanya mabadiliko kwenye kikosi chake kuelekea mchezo dhidi ya Ruvu Shooting
Kiungo Khalid Aucho anakosa mchezo huo baada ya kupata majeraha mazoezini
Nabi amemuanzisha Mukoko katika nafasi ya Aucho huku akimjumuisha Saido Ntibazonkiza kwenye kikosi cha mechi
Mchezo utapigwa kuanzia saa 12:15 jioni
ADVERTISE HERE