Jana wachezaji wa Yanga wakati wanaingia uwanjani kuelekea mchezo dhidi ya Azam Fc, walivaa jezi namba 14 yenye jina la Boxer mgongoni
Ni katika kumfariji mchezaji mwenzao Paulo Godfrey 'Boxer' ambaye wiki iliyopita alipata msiba wa kufiwa na baba yake mzazi
Baadae wachezaji walizigawa jezi hizo kwa mashabiki wao






ADVERTISE HERE