Kaze afunguka maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya Azam Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Oct 2021
Kaze afunguka maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya Azam Fc

Kocha Msaidizi wa Yanga Cedrick Kaze amesema wamejiandaa vyema kuelekea mchezo dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa kesho Jumamosi kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa

Kaze amesema wanatarajia mchezo wenye upinzani mkali kutokana na ushindani uliojengeka baina ya timu zote mbili

Hata hivyo wamedhamiria kuhakikisha wanatumia vyema uwanja wa nyumbani kwa kuondoka na alama zote tatu

Kaze amesema utakuwa ni mchezo mpya baina ya timu zote mbili kutokana na aina ya usajili ambao timu zote zimefanya

Yanga itawakosa wachezaji wawili Mapinduzi Balama na Dickson Ambundo huku Yassin Mustafa akirejea baada ya kupona

Kaze amesema pia wachezaji wawili wa kigeni nao watakosekana kutokana na kanuni inayotaka wachezaji nane wa kigeni kutumika katika mechi moja

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’