Ambundo majeruhi pekee Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Oct 2021
Ambundo majeruhi pekee Yanga

Winga Dickson Ambundo ni mchezaji pekee ambaye ni majeruhi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Jumamosi, Oktoba 30 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Akizungumza na Wanahabari katika Mkutano uliofanyika Serena Hotel mapema leo, Msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara alisema Ambundo anaendelea kutibiwa lakini wachezaji wengine wote wako tayari kuikabili Azam Fc

Manara amesema wanatarajia kupata ushindani mkali kutoka kwa Azam Fc lakini wamejipanga kushinda

"Majeruhi katika Kikosi chetu ni mchezaji mmoja tu Dickson Ambundo. Wachezaji wengine wako vizuri na wanaendelea na mazoezi kuelekea mchezo wa Jumamosi dhidi ya Azam FC"

"Hadi sasa tumecheza asilimia 10 za mechi zetu katika msimu mzima. Tunawaheshimu Azam FC sababu ni timu inayotoa ushindani tunapokutana nao kwa misimu kadhaa sasa," alisema

Aidha Manara amebainisha kuwa wameanza mkakati wa kuongeza mashabiki wapya wakija na mpango maalum kuwavutia wale ambao hawaishabikii timu yoyote

"Kwa Tanzania Yanga ina mashabiki wanaofahamika mpaka sasa takribani 20-25m, tuko kwenye kampeni ya kuongeza mashabiki wapya ambao hawajui waishabikie timu gani"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
6h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’