Nabi ameunda vikosi viwili vya ushindi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Oct 2021
Nabi ameunda vikosi viwili vya ushindi

Achana na kikosi kilichoihakikishia Yanga alama zote tisa kwa ushindi katika mechi tatu za ligi kuu

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi anajivunia kuunda kikosi imara ambacho kimekamilika katika kila idara

Jana kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya JKT Tanzania, Nabi alitumia kikosi kingine kabisa ambacho kinaweza kushinda mchezo wowote wa ligi kuu

Erick Johora alikuwa langoni wakati kwenye safu ya ulinzi walisimama Deus Kaseke, Mohammed Msenda, David Bryson na Abdallah Shaibu

Mukoko Tonombe na Zawadi Mauya walianza katika eneo la kiungo wakati Yusufu Athumani mfungaji wa bao pekee akicheza pembeni sambamba na Farid Mussa

Fundi Saido Ntibazonkiza na Heritier Makambo wakashirikiana kwenye safu ya ushambuliaji

Kikosi hiki hakikujumuisha mchezaji hata mmoja ambaye alianza katika mchezo wa ligi kuu uliopita dhidi ya KMC

Djigui Diarra, Shabani Djuma, Kibwana Shomari, Bakari Nondo Mwamnyeto, Dickson Job na Yannick Bangala

Pia Jesus Moloko, Khalid Aucho, Fiston Mayele, Feisal Salum na Yacouba Songne wote walikuwa nje!

Hii ndio maana halisi ya kikosi kipana...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’