Yanga yaichapa JKT Tanzania 1-0

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Oct 2021
Yanga yaichapa JKT Tanzania 1-0

Ikiwa sehemu ya program ya mazoezi, leo kikosi cha Yanga kilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya JKT Tanzania kwenye uwanja wa Avic Town, Kigamboni

Yanga imeibuka na ushindi wa bao 1-0 lililowekwa kambani na Yusufu Athumani

Yanga inaendelea na maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Oktoba 30 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Wananchi wamepania kuendeleza kasi waliyoanza nayo msimu huu wakiwa wameshinda michezo yote mitatu waliyocheza kwenye ligi mpaka sasa

Wanashika nafasi ya pili nyumba ya Polisi Tanzania ambao wanaongoza kwa tofauti ya mabao ya kufunga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’