Yanga kujipima na JKT Tanzania

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Oct 2021
Yanga kujipima na JKT Tanzania

Wananchi wanaendelea na mazoezi Avic Town kujiandaa na mchezo dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Oktoba 30 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Jioni ya leo Yanga inatarajiwa kucheza na JKT Tanzania ukiwa ni mchezo wa ndani wa kirafiki

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi anatambua ugumu wa mchezo dhidi ya Azam Fc hivyo anahitaji kuwaandaa vijana wake kisawa sawa kuelekea mchezo huo

JKT Tanzania inayoshiriki Championiship, ni timu inayocheza soka la nguvu aina ya mchezo ambao Yanga watakutana nao dhidi ya Azam Fc

Yanga inahitaji kushinda mchezo dhidi ya Azam Fc ili kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi jana wakishushwa nafasi ya pili na Polisi Tanzania iliyoichapa Ruvu Shooting bao 1-0

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
14h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’