Ni kazi kazi, dozi yao inaandaliwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Oct 2021
Ni kazi kazi, dozi yao inaandaliwa

Kikosi cha Yanga jana kilirejea mazoezini kuiwinda Azam Fc katika mchezo wa ligi kuu ambao utapigwa Oktoba 30 katika uwanja wa Benjamin Mkapa. Wananchi walianza na mazoezi ya Gym kuweka miili sawa

Vinara hao wa ligi kuu ya NBC wamepania kuendeleza wimbi la ushindi na kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi

Hata hivyo ni wazi mchezo dhidi ya Azam Fc utakuwa na upinzani mkali, ni kawaida kwa Azam Fc 'kukaza' wanapokutana na Yanga

Jana Azam Fc waliondoshwa kwenye michuano ya kombe la Shirikisho baada ya kuchapwa bao 1-0 na Pyramids Fc hivyo nao hesabu zao zimebaki kwenye ligi

Msimu uliopita kila timu ilishinda mchezo mmoja, Yanga ikipata ushindi wa bao 1-0 uwanja wa Azam Complex na Azam nao kushinda bao 1-0 uwanja wa Benjamin Mkapa

Ni moja ya mechi ambazo alama tatu zina thamani kubwa katika mbio za kuwania ubingwa

Kwa Yanga kila mchezo ni fainali ambapo Wananchi hesabu zao ni kushinda kila fainali inayokuja mbele yao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
20h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’