Baada ya kukosekana kwenye kikosi cha Yanga kwa wiki kadhaa, kiungo mshambuliaji Saido Ntibazonkiza amejumuika na wachezaji wenzake katika maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc
Mchezo huo utapigwa Oktoba 30 uwanja wa Benjamin Mkapa





ADVERTISE HERE