Fei Toto apania tuzo zaidi msimu huu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Oct 2021
Fei Toto apania tuzo zaidi msimu huu

Kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' amesema anayafurahia maisha yake ndani ya kikosi cha Yanga akijiwekea malengo ya kushinda tuzo zaidi katika msimu huu

Jana Fei Toto alishinda tuzo ya mchezaji bora wa kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) pia akijumuishwa katika kikosi bora cha msimu uliopita

"Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kushinda tuzo hizi, nitaendelea kujituma msimu huu ili niweze kufanya vizuri zaidi, binafsi natamani kushinda tuzo ya mchezaji bora wa ligi, naamini inawezekana," alisema Fei Toto

Aidha nyota huyo amesema anayo ndoto ya kwenda kucheza soka nje ya nchi lakini anaamini bado wakati wake haujafika

"Nafarijika kuona watu wengi wanatamani nikacheze soka Ulaya, hata mimi natamani jambo hilo litokee, lakini naamini wakati wake bado. Pale wakati utakapofika wataniona nacheza soka nje ya nchi,  alisema Fei Toto"

Fei Toto ameanza vyema msimu huu akifunga mabao mawili na kutoa pasi moja ya bao katika mechi tatu za mwanzo wa msimu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
3h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’