Mukoko ashukuru kwa tuzo ya TFF

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Oct 2021
Mukoko ashukuru kwa tuzo ya TFF

Kiungo wa Yanga Mukoko Tonombe ametoa shukrani kwa wadau wote waliomuwezesha kufanikiwa kuingia kwenye kikosi bora cha msimu uliopita

Mukoko alikuwa akiwania tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu ambayo ilichukuliwa na John Bocco

"Asante kwa timu yangu ya Yanga na kwa wafuasi wangu wote ambao waliniunga mkono mwanzo hadi mwisho"

"Nilitaka sana kushinda tuzo ya mchezaji bora lakini nina furaha kumaliza mchezaji wa pili bora. Ni furaha kubwa na ninajivunia kuwa pia katika timu ya msimu. Asante kwenu mashabiki wangu na Mungu wangu Mwenyezi," aliandika Mukoko kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’