Kiungo fundi wa Yanga Feisal Salum 'Fei Toto' ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)
Fei Toto ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo hiyo katika hafla ya utolewaji wa tuzo za TFF kwa msimu wa 2020/21
Fundi huyo wa mpira pia ameingia katika kikosi bora cha ligi kuu 2020/21 sambamba na Mukoko Tonombe na Dickson Job
Aidha Kibwana Shomari yeye ameshinda tuzo ya Uungwana 'Fair Play'
Tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu imechukuliwa na mshambuliaji wa Simba John Bocco


ADVERTISE HERE