Nabi atoa mapumziko ya siku mbili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Oct 2021
Nabi atoa mapumziko ya siku mbili

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi ametoa mapumziko ya siku kwa wachezaji baada ya kurejea kutoka Songea

Yanga ilirejea jana kutoka Songea ambako walipata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMC

Jana wachezaji walishiriki katika mazishi ya Baba mzazi wa Paulo Godfey, Mzee Godfrey Nyan'ganya aliyefariki dunia juzi jijini Dar es salaam

Wananchi wanatarajiwa kurejea kambini Jumamosi kuanza maandalizi ya mchezo dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Oktoba 30 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’