Yanga imejichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMC
Baada ya kushinda bao 1-0 kwa mechi nne mfululizo, leo Wananchi wameongeza 'dozi' wenyewe wakisema dozi itaendelea kungezeka mechi hadi mechi
Alama tisa, kutoka mechi tatu, mabao ya kufunga ni manne na hakuna bao lililofungwa katika lango la Yanga
'Cleansheet' tatu kwa Djigui Diarra ambaye ameendelea kuwa katika kiwango bora sana
Wananchi wana jambo lao msimu huu, ni hatua kwa hatua mpaka mwezi May 2022

ADVERTISE HERE