Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mkurugenzi wa Maendeleo ya Soka la Vijana Kocha Mwinyi Zahera
Baada ya kufanya vyema wakati akiwa kocha mkuu wa Yanga, uongozi umemrudisha Zahera katika majukumu ya kuandaa wachezaji wa Yanga wa kesho
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukumbu kwake
HAPPY BIRTHDAY ZAHERA...!
ADVERTISE HERE