Sheria ya wachezaji nane wa kigeni ni 'pasua kichwa'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Oct 2021
Sheria ya wachezaji nane wa kigeni ni 'pasua kichwa'

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi ni miongoni mwa wasiofurahishwa na sheria ya wachezaji nane wa kigeni kutumika katika mchezo mmoja licha ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) kuruhusu usajili wa wachezaji 12

Yanga ikiwa imesajili wachezaji 10 wa kigeni, leo inalazimika kuacha wachezaji wawili nje ya kikosi kitakachocheza dhidi ya KMC

Mkongwe Saido Ntibazonkiza hakusafiri na timu Songea kutokana na changamoto za kiafya, Nabi atalazimika kumuacha mchezaji mwingine nje miongoni mwa wachezaji tisa ambao wako na timu Songea

Djigui Diarra, Shabani Djuma, Yannick Bangala, Mukoko Tonombe, Khalid Aucho, Jesus Moloko, Fiston Mayele, Heritier Makambo na Yacouba Songne

Hapa Nabi analazimika kuwatumia wachezaji nane tu, mmoja ataachwa nje ya kikosi! Nani abaki nje hapo?

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’