Maana halisi ya Yanga kuwa timu ya Mwananchi inaonekana dhahiri katika matendo ambayo timu inafawafanyia watu wake
Yanga imejiwekea utaratibu wa kuwasaidia watu wenye mahitaji maalum katika kila mkoa wanaokwenda
Jambo hili ni kubwa na hakika linawapa faraja wanaopata misaada hii hasa watoto ambao ndio Taifa la kesho









ADVERTISE HERE