Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) msimu wa 2020/21 zinatarajiwa kutolewa Oktoba 21 katika ukumbi wa kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es salaam
Wachezaji wa Yanga waliotajwa kuwania tuzo ni pamoja na Dickson Job (Beki bora), Mukoko Tonombe (Kiungo bora) na Feisal Salum (Kiungo bora)
Mukoko pia ametajwa katika tuzo ya mchezaji bora wa ligi wakati kipa wa zamani wa Yanga Farouk Shikhalo anawania tuzo ya kipa bora katika michuanp ya FA
ADVERTISE HERE