Kikosi cha Yanga kinaendelea na maandalizi kuelekea mchezo wa NBC Premier League dhidi ya KMC ambao utapigwa Oktoba 19 uwanja wa Majimaji, Ruvuma
Leo Wananchi walifanya mazoezi maalum ya GYM kwa ajili ya kujenga misuli..!






ADVERTISE HERE