CAF yaipiga faini Yanga, kisa mechi ya Rivers United

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Oct 2021
CAF yaipiga faini Yanga, kisa mechi ya Rivers United

Klabu ya Yanga imepigwa faini ya shilingi Milioni 11 na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) kutokana na kilichoelezwa kuvunja kwa baadhi ya sheria na taratibu za mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika walioucheza dhidi ya Rivers United ya Nigeria

Adhabu hiyo imetolewa na kamati ya nidhamu ya CAF kutokana na malalamiko ya klabu ya Rivers United juu ya baadhi ya viongozi wao kughasiwa na walinzi wa uwanjani (Stewards) na baadhi ya mashabiki kuingia uwanjani wakati mchezo huo ambao ulipaswa kuchezwa bila mashabiki

Taarifa ya kamati hiyo imeeleza Yanga hawakutoa utetezi wowote juu ya malalamiko hayo na kamati hiyo wamewapiga faini ya dola 5,000 kutokana na matukio hayo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’