Muhimu ushindi, mengine baadae - Mayele

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Oct 2021
Muhimu ushindi, mengine baadae - Mayele

Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele amesema jambo la msingi kwao ni kuhakikisha wanashinda michezo yao suala la idadi ya mabao wanayofunga wataendelea kulifanyia kazi

Yanga imecheza mechi nne mfululizo zote ikishinda bao 1-0. Walianza kuichapa Simba bao 1-0 katika mchezo wa Ngao ya Jamii

Wakaichapa Kagera Sugar bao 1-0 na baadae kuichapa Geita Gold bao 1-0 katika mechi za ligi kuu

Juzi katika mchezo wa kirafiki dhidi ya JKU, nao wakashinda bao 1-0

Mayele amesema ni mapema sana kulaumiwa kwa kuwa timu inafanya vizuri, wanashinda mechi zao tena wakiwa hawaruhusu bao lolote

"Ni mapema sana kulaumiwa ukizingatia tunapata bao moja ni la ushindi hatujaruhusu kufungwa na katika bao hilo moja kunakuwa na nafasi nyingi zinazotengenezwa hivyo hii ni moja ya sifa kwetu kwamba tuna uwezo mkubwa tukitulia," alisema Mayele

Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi Avic Town kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC utakaopigwa uwanja wa Majimaji wiki ijayo, Oktoba 19 2021

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’