Kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina aliyerejea hivi karibuni kutoka Zambia alikokwenda kuhudhuria msiba wa mwanawe, atakuwa visiwani Zanziar kuongeza nguvu kwenye kikosi cha Yanga kitakachoivaa URA kwenye mchezo wa nusu fainali leo.
Mbali na Lwandamina, mshambuliaji Obrey Chirwa naye atakuwa visiwani humo na huenda akawa tayari kuitumikia Yanga kwenye mchezo huo
Yanga itashuka katika dimba la Amani saa kumi na nusu jioni kuivaa URA katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali.
Baadae Singida United itaumana na Azam FC kwenye mchezo wa pili wa nusu fainali utakaopigwa kuanzia saa mbili na robo usiku

ADVERTISE HERE