Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema mchezo wa kirafiki dhidi ya JKU kutoka visiwani Zanzibar ambao awali ulipangwa kupigwa leo katika uwanja wa Azam Complex, sasa utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Bumbuli ametaja viingilio vya mchezo huo kuwa ni VIP A Tsh 10,000/-, VIP B na C ni Tsh 5,000/- na Mzunguuko ni Tsh 3,000/-
Muda wa mchezo ni uleule, saa moja kamili usiku
ADVERTISE HERE