Wakati ligi ikiwa imesimama kupisha kalenda ya michuano ya Kimataifa, kesho Jumapili, Wananchi watashuka kunako dimba la Azam Complex, Chamazi kuwakabili JKU katika mchezo wa kirafiki
Mchezo huo utarushwa mbashara na Azam Sport HD 1 kuanzia saa moja kamili usiku
Tangu ilipoondoshwa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa, Yanga haijawahi kupoteza mchezo wowote wa mashindano au kirafiki
Je JKU wanaweza kuchafua rekodi hiyo? tusubiri...!
ADVERTISE HERE