Nyota wa Yanga Djuma Shabani na Jesus Moloko wanatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam kesho Jumapili wakitokea kwao DR Congo
Djuma na Moloko walirejea Congo kuhuisha pasi zao za kusafiria ambazo zilikuwa zimejaa
Nyota hao wataungana na wenzao Jumapili kuendelea na maandalizi ya mechi za ligi kuu zinazofuata
Hawatarajiwi kuwa sehemu ya kikosi cha Yanga ambacho kitacheza mechi ya kirafiki dhidi ya JKU uwanja wa Azam Complex hapo kesho

ADVERTISE HERE