Mshambuliaji wa Yanga Yacouba Songne leo anaweza kuwa sehemu ya kikosi cha Burkina Faso kitakachoikabili Djibouti katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za kombe la Dunia
Yacouba ni miongoni mwa wachezaji tisa wa Yanga wanaokabiliwa na majukumu ya timu za Taifa
Wachezaji wengine ni Ramadhani Kabwili, Kibwana Shomari, Dickson Job, Bakari Nondo Mwamnyeto, Feisal Salum, Djigui Diarra, Khalid Aucho na Saido Ntibazonkiza
ADVERTISE HERE