Wachezaji wawili wa Yanga Jesus Moloko na Shabani Djuma watarejea nchini mwishoni mwa wiki (Jumapili) wakitokea DR Congo kushughulikia hati za kusafiria
Taarifa iliyotolewa na Yanga imebainisha kuwa wachezaji hao walipewa ruhusa kurejea kwao kushughulikia pasi zao za kusafiria ambazo zimejaa
Mlinda lango Djigui Diarra nae alikuwa na changamoto ya pasi ya kusafiria kujaa, lakini kwa kuwa yupo na timu ya Taifa ya Mali, changamoto yake itapatiwa ufumbuzi
ADVERTISE HERE