Yanga yaahirisha kambi Arusha

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Oct 2021
Yanga yaahirisha kambi Arusha

Kikosi cha Yanga kitaendelea kujifua jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC ambao utapigwa Okroba 19 katika uwanja wa Majimaji, Songea

Taarifa iliyopatikana jana jioni, imebainisha kuwa benchi la ufundi chini ya Kocha Nasreddine Nabi wameona watawapa changamoto ya kusafiri wachezaji wao walio katika majukumu ya timu za Taifa pale watakaporejea

Yanga itapaswa kusafiri kwenda mkoani Ruvuma kwa ajili ya mchezo dhidi ya KMC

Yanga inaendelea na maandalizi katika uwanja wake wa Avic Town, Kigamboni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’