Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Benki ya NBC leo wamesaini mkataba wa udamini wa Ligi Kuu kwa miaka mitatu
Katika makubaliano hayo, NBC watatoa Tsh 2.5 billions katika msimu wa kwanza na kutakuwa na ongezeko la kila msimu kulingana na makubaliano
Karibu NBC Premier League...!
ADVERTISE HERE