Mlinzi wa kulia wa Yanga Kibwana Shomari ni miongoni mwa wachezaji waliojumuishwa katika kikosi cha timu ya Taifa (Senior) kinachojiandaa na mchezo wa kuwania kufuzu fainali za kombe la dunia 2022 dhidi ya Benin
Mchezo huo utapigwa kesho Alhamisi katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Stars inajifua katika uwanja wa Benjamin Mkapa kujiandaa na mchezo huo ambao Tanzania inazihitaji alama zote tatu ili kuendelea kujiimarisha kileleni mwa kundi J

ADVERTISE HERE