Kazi ndio kwanza imeanza - Moloko

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Oct 2021
Kazi ndio kwanza imeanza - Moloko

Baada ya kufunga bao lake la kwanza kwenye kikosi cha Yanga, winga Jesus Moloko amesema huo ni mwanzo tu

Moloko amesema bao hilo limemuongezea ari ya kujituma zaidi ili kuhakikisha anaisaidia Yanga kutimiza malengo yake ya kutwaa ubingwa msimu huu

"Nafurahi kuona bao nililofunga lilitupa pointi zote tatu kitu cha muhimu kwangu ni kuiona Yanga inashinda sababu kubwa ni mwisho wa msimu tunakuwa mabingwa," amesema Moloko

Wakati baadhi ya wachezaji wakiruhusiwa kujiunga na timu za Taifa, Moloko na Shabani Djuma wameruhusiwa kurejea kwao DR Congo kuhuisha vibali vyao (pasi za kusafiria)

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’