Muda wa kudhihirisha ubora Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Oct 2021
Muda wa kudhihirisha ubora Stars

Ilikuwa ni suala la muda tu Kibwana Shomari kuitwa timu ya Taifa kutokana na ubora ambao ameendelea kuonyesha tangu msimu uliopita

Kila wakati alipoachwa nje ya kikosi cha Stars maswali yaliulizwa mengi kutoka kwa wadau kuhoji ni vigezi gani vinatumika kumuacha Kibwana nje?

Kibwana ni miongoni mwa wachezaji wachache mahiri sana wa ndani wanaocheza safu ulinzi pembeni

Ni bora sana kwenye ulinzi lakini pia ameimarika katika kushambulia kutokea pembeni

Hii ni nafasi nzuri kwake kumdhihirishia kocha Kim Poulsen ni aina gani ya mchezaji alikuwa akimkosa katika kikosi chake

Kibwana ameitwa Stars kuchukua nafasi ya Shomari Kapombe ambaye ni majeruhi

Pengine anaweza kuwa sehemu ya kikosi kitakachoikabili Benin keshokutwa Alhamisi katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za kombe la dunia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’