FT : Yanga 1-0 Geita Gold

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Oct 2021
FT : Yanga 1-0 Geita Gold

Yanga imetoka kifua mbele uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya kuichapa Geita Gold bao 1-0 katika mchezo wa ligi kuu

Ulikuwa mchezo wa upande mmoja kwa muda mwingi, Yanga ikitengeneza nafasi nyingi

Jesus Moloko ndiye aliyefunga bao pekee la Yanga kwenye dakika ya 16 akimalizia krosi ya Yacouba Songne

Yanga ilitengeneza nafasi nyingi, Yacouba, Mayele, Makambo wote walikosa nafasi za wazi

Yanga ilikataliwa mabao mawili na mshika kibendera kwa maamuzi ya kuotea

Muhimu Yanga ilizihitaji alama zote tatu na wameweza kuzipata

Kocha Nasreddine Nabi na benchi lake la ufundi watakuwa na takribani wiki tatu kurekebisha mapungufu kabla ya mchezo dhidi ya KMC utakaopigwa Oktoba 19

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
21m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
29m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’