Mechi tano zinazofuata baada ya leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Oct 2021
Mechi tano zinazofuata baada ya leo

Baada ya mchezo dhidi ya Geita Gold Fc leo, Yanga itacheza mechi nyingine mbili kukamilisha mwezi huu Oktoba

Kalenda ya FIFA kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu fainali kombe la Dunia, itafuatia baada ya michezo ya raundi ya pili

Oktoba 19 Yanga itakuwa ugenini kuikabili KMC katika mchezo ambao unaweza kupigwa uwanja wa Uhuru

Mchezo utakaofuata Oktoba 30 ni dhidi ya Azam Fc, utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Wananchi watafungua mwezi wa 11 kwa kuikabili Ruvu Shooting mchezo ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Novemba 02 

Mchezo utakaofuata ni dhidi ya Namungo Fc mkoani Lindi, Novemba 20 na kisha kufunga mwezi Novemba kwa mchezo dhidi ya Mbeya Kwanza, Novemba 30

Mchezo wa kwanza Disemba ni dhidi ya Simba, ukipigwa Disemba 11

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
20h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’