Viingilio mchezo dhidi ya Geita Gold

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Oct 2021
Viingilio mchezo dhidi ya Geita Gold

Mchezo wa raundi ya pili ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya Yanga dhidi ya Geita Gold utapigwa kesho Jumamosi kunako uwanja wa Benjamin Mkapa

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli ametaja viingilio vya mchezo huo ambao utapigwa kuanzia saa moja jioni

VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- wakati upande wa Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

Yanga imepania kuendeleza rekodi ya ushindi kwa asilimia 100 baada ya kushinda mchezo uliopita dhidi ya Kagera Sugar

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’